Mr
and Mrs Ameir wakiwa katika picha ya pamoja na msanii wa Bongo Flava
anayekimbiza vibaya mno kwa sasa Afrika Mashariki Afrika na Dunia
Diamond Platnumz ndani ya mgahawa Sterling Virginia wakati Diamond na
crew yake walipokua wamesimama kwa muda uwanja wa ndege wa
kimataifa.Dulles.
Missy
Temeke na washirika wake Mr and Mrs Ameir wakiwa katika picha ya pamoja
na msanii wa Bongo Flava anayekimbiza vibaya mno kwa sasa Afrika
Mashariki Afrika na Dunia Diamond Platnumz na Crew yake ndani ya mgahawa
Sterling Virginia wakati Diamond na crew yake walipokua wamesimama kwa
muda uwanja wa ndege wa kimataifa.Dulles.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment