Posted by Williammalecela.com on Monday, July 04, 2016

Katika
hali ya kushangaza wengi mwanaume mmoja ambaye ni mfanyabiashara huko
Mkoani Mbeya, amekamatwa na kichwa cha binadamu baada ya kufukua kaburi
na kachukua kichwa cha marehemu, inadaiwa alifikia maamuzi hayo ili
afanikiwe kibiashara.
0 comments:
Post a Comment