Sunday, July 10, 2016


BAADA ya kupita muda mrefu toka aonekane hadharani wakati akiomba kuteuliwa kuwa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia CCM,nyange wa filamu nchini,Irine Uwoya ameibuka na muonekano mpya ambao umewashangaza watu mbalimbali.

Katika picha aliyoposti katika ukurasa wake wa kijamii,Irine ambaye ni mke wa zamani wa mawanasoka Ndikumana kutoka Burundi,ameonekana akiwa na mwanaume mmoja mabye hata hivyo haikuweza kufahamika mara moja kama huyo mwanaume ni wake kimapenzi au ni rafiki wa kawaid
A photo posted by irene (@ireneuwoya8) on

0 comments:

Post a Comment