OMMY Dimpoz ameendelea kula BATA Ulaya,ambapo baada ya kutoka Ibiza Hispania,sasa ametua nchini Ujerumani katika jiji la Munich ambapo alikuwa na Show huku,
Sasa baada ya kujirusha Hispania,Staa huyo wa ACHIA BODY ameamua kujichanganya tena katika mitaa ya Munich ambapo huko nako amendeleza kula BATA kama inavyoonekana kupitia nukurasa wake wa Instagram.

0 comments:
Post a Comment