Mkali wa Bongo Fleva Diamond Platnumz au Chibu Dangote amefunguka juu ya namna ambavyo Serikali ya awamu ya tano inavyosupport mziki wa Bongo Fleva,ambapo amesema kuwa anajivunia kuona viongozi wakubwa wa Serikali wakiwaunga mkono.
Diamond au kwa jina lingine Chibu Dangote amesema hayo muda mfupi jana mara baada ya kukutana na Waziri Mkuu Mhe Kassimu Majaliwa ,kupitia ukurasa wake wa Instagrama Diamond aliandika hivi..

0 comments:
Post a Comment