KATIKA hali isiyo ya kawaida,Mbunge wa Chalinze,Ridhiwani Kikwete amemtania mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Msigwa kwa kukubali kupiga picha ya pamoja na Naibu Spika Dk Tulia Ackson katika tukio la kupokea madawati.
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram,Ridhiwani amepost picha hiiyo yenye kijembe kwa Mchungaji Msigwa kutokana na Mbunge huyo wa Iringa akiwa na Wenzake wa ukawa kudai kuwa Dk tulia alikuwa akiliongoza Bunge Vibaya.

0 comments:
Post a Comment