Mwanamuziki
nguli nchini anayetumikia kifungo cha maisha jela, Nguza Viking ‘Babu
Seya’ anadaiwa yu taaban ambapo amekimbizwa Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili (MNH) kwa matibabu.Mwandishi wetu
alimshuhudia Babu Seya akiwa Muhimbili chini ya ulinzi wa askari magereza watatu na wafungwa wengine watano katika Jengo la Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) huku akiwa amedhoofu.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

0 comments:
Post a Comment