Wednesday, July 27, 2016

MAHAKAMA kuu ya Tanzania kanda ya Iringa leo imemhukumu kwenda jela miaka 15 askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) mwenye namba G .2573 Pacificius
Cleophace Simon (27) aliyemuua mwandishi wa habari Daudi Mwangosi wa kituo cha Chanel Ten.

0 comments:

Post a Comment