Saturday, July 16, 2016


Datta Phuge
Yule mwanamume wa India anaependa kuvalia mrundo wa dhahabu hadi kubandikwa jina The Gold Man ameuawa.Mtu huyo kwa jina Datta Phuge aliwahi kununua shati mojawapo ghali zaidi duniani kwani lilikuwa la dhahabu.Dhababu ya shati hilo inasemekana hapo 2013 ilikuwa kilo tatu 3kg na liligharimu $250,000.

0 comments:

Post a Comment