LEO hii Rais Dr John Magufuli amewafanya waTZ wabaki vinywa wazi pale aliposema kuwa akiafnikisha zoezi la kuhamia DODOMA atapiga bei majengo yote ya Serikali .
Akizungumza katika ziara zake kikazi katika mkoa wa Singida,Rais JPM amesema kuwa atahakikaisha anayauza majengo yote ya Serikali ambayo yatabaki jijini DSM.
Rais Magufuli: Nikihamia Dodoma mimi, majengo yote ya Serikali yaliyoko jijini Dar nitayapiga mnada #JFLeo pic.twitter.com/HtrXrANMqU— Jamii Forums (@JamiiForums) July 29, 2016

0 comments:
Post a Comment