Saturday, July 16, 2016


Aliyekuwa Waziri wa Nishati na madini katika Serikali ya Awamu ya Nne Chini Ya Rais Mstaafu Dr Jakaya Kikwete,Mhe Willium Ngeleja ameibuka na kutoa ya moyoni juu ya teuzi zinazofanywa na Rais Magufuli kwa kujaza vijana wengi katika Serikali.

Mhe Ngeleja ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Sengerema,amesema kuwa kitendo cha Rais Magufuli kuteua vijana katika nafasi kubwa Serikalini ni matokeo ya kazi kubwa iliyofanywa na Rais wa awamu ya nne Dr Kikwete.

Kupiti Ukurasa wake wa Twitter,Ngeleja ambaye hajapata nafasi ya kuteuliwa katika Serikali ya awamu hii,ameandika haya..

0 comments:

Post a Comment