Saturday, July 23, 2016


KATIKA hali isiyo ya kawaida,Kiongozi wa chama cha ACT- Wazalendo leo hii muda mfui tu mara baada ya Rais Magufuli kutangazwa kuwa Mwenyekiti wa tano wa CCM,aliasambaza ujumbe mzito mitandaoni kuhusu hatua hiyo.

Zitto ambaye mara kadhaa amekuwa akisikika kumtuhumu JPM kuwa ni Dikteta,aesambaza ujumbe huo wenye lengo la kumpongeza Dr JPM  na kuhaidi kuwa atampa ushirikiano ote unaohitajhika katika kuboresha siasa ya tanzania.



0 comments:

Post a Comment