RIDHIWANI Kikwete ambaye pia ni mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM,leo hii ameweka ujumbe kwenye ukurasa wake wa kijamii ,kuhusu sakata la JPM kukabidhiwa Uenyekiti wa CCM.
Ridhiwani ambaye pia ni Mbunge,amesema kuwa anafurahi kuona siku za JPM kukabidhiwa Chama kama Mwenyekiti zimekaribuia na kumtakia kila la kheri Dr Magufuli katika wadhifa wake huo mpya

0 comments:
Post a Comment