Posted by Williammalecela.com on Saturday, July 23, 2016
Mwanamuziki
wa Congo Koffi Olomide ambaye amewasili Nairobi Kenya leo asubuhi ya
July 22 akiwa na wanamuziki wake pamoja na dancers wake kwa ajili ya
show, ameripotiwa kukamatwa baada ya kumpiga teke dancer wake wa kike
wakati wakiwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyata Nairobi.
0 comments:
Post a Comment