Ni July 3, 2016 ambapo
watu mashuhuri mbalimbali walikutana kwenye shindano la usomaji wa
Quran ambapo tukio hilo lilihudhuriwa na mgeni rasmi Mbunge wa Chalinze,
Mh.Ridhiwani Kikwete huku wakiwemo wasanii mbalimbali, Madee, Dogo Janja, Meneja Babu Tale, Shamsa Ford, Mwasiti na wengineo.
Lengo
la kufanyika kwa shindano hilo ni kuhamasisha watoto kujali swala na
usomaji Quran, hapa nimekusogezea baadhi ya picha kutoka kwenye eneo la
tukio .
.Mtangazaji kutoka Clouds TV, Antonio Nugaz akizungumza katika kongamano hilo la kusoma Quran
.
.Msanii kutoka Bongoflevani, Madee
.Meneja Babu Tale akizungumza katika kongamano hilo la kusoma Quran
.
.Mtangazaji wa Power Breakfast ya Clouds FM, Masoud Kipanya
.
.Staa kutoka Bongoflevani, Alikiba
.Pichani:(Katikati) Mgeni rasmi mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akiwa na watu mbalimbali walioshiriki shindano ya kusoma Quran
.
.
.
.
.
U
0 comments:
Post a Comment