Sunday, July 24, 2016

Lugha ya Kingereza imekuwa shida sana kwa wasanii wengi hapa Bongo lakini mwanadada mrembo Shilole ameamua kuweka aibu pembeni na kujifunza lugha hiyo huko akifanya mizaa kupitia mdandao wa Instagram
Mtanzame Hapa Akiongea na Mwalimu wake kwa simu:

1 comment:

  1. Yah sio kingereza. Yes ni kingereza. !!You give me hard time!!
    Huyo mwalimu wako...

    ReplyDelete