SIKU kadhaa toka aachie traki ya KIDOGO staa na mkali wa Bongo Fleva,Diamond Pltnumz leo hii amewachana mashabiki wake wanaopenda vya BUREE .
Diamond ambaye pia ni CEO wa LABEL ya WCB amewataka mashabiki wake kuachana na mtindo wa kuidownload wimbo huo kisha kusambaziana kwa Whats App bila ya yeye kunufaika na kazi hiyo.
Hivyo Diamond amewataka mashabiki zake wote sasa kununua track hiyo ambyo ametangaza kuiuza kupitia mitandao mbali mbali ya kuuza nyimbo duniani.

0 comments:
Post a Comment