Monday, July 18, 2016



STAA wa 'KIDOGO' Diamond Platnumz amezidi kuwaziba midomo wabaya wake ambao kila siku hawalali kuomba aachane na Mpenzi wake Zari Hassani,au Zari The Boss Lady.

Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram,Diamond ambaye sasa hashikiki katika soko la mziki wa Bongo Flava ,ameposti picha inayoonyesha kuwa wawili hao ni kufa na kuzikana na hawana mpango wa kutemana.



A photo posted by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on

0 comments:

Post a Comment