Thursday, July 7, 2016


Jina la Masanja Mkandamizaji si geni sana masikioni mwa wengi,hii nikutokana na shughuli zake hasa za uchekeshaji kupitia kipindi cha Orijino Komedi,

Kupitia Ukurasa wake wa twitter,Masanja 'amewachana ' wanawake wanaopenda kuhamahama mikoa bila sababu ya msingi,huku akiwatahadharisha kuwa watakosa waume

0 comments:

Post a Comment