Siwema
ameliambia Wikienda kuwa hawezi kuapa kwamba hatakaa atumbukie tena
kwenye penzi la msanii kwa kuwa hakuna anayejua huko mbeleni ataangukia
kwa nani.
“Siwezi
kusema kuwa Nay amenikatisha tamaa au sitaingia tena kwenye penzi la
staa kwa sababu naweza kuapa halafu ikawa sivyo,” alisema Siwema.
0 comments:
Post a Comment