Friday, July 15, 2016


Mtangazaji Nguli wa michezo nchini Maulid Kitenge mapema leo hii ameweka wazi juu ya kutimia kwa ndoto zake za muda mrefu alizojiwekea tangu awali.

Mtangazaji huyo mahiri wa michezo ambaye anatamba na Sauti ya kipekee,leo hii kupitia ukurasa wake wa Instagram ametanabaisha kuwa anafikirikia kununua helkopta huku akiweka wazi ndoto nyingine iliyobaki ni kuiona pepo

0 comments:

Post a Comment