Msanii Q Chief ni moja kati ya wasanii wa wakongwe katika muziki wa Bongofleva ila July 11 2016 Q Chief aliweka wazi kufurahishwa na uwezo na mafanikio ya Diamond Platnumz katika muziki wa Bongofleva, kiasi kwamba amesema hata ukienda nje ya nchi, jina la Diamond inakuwa inarahisisha mambo.
“Kwa alipofikia Diamond kila mmoja anatamani kuwa kama mtu fulani, lakini kitu kizuri Diamond ametuamsha kuwa kuna njia tukipita tunaweza kufanikiwa ndio maana hata watu wengine wanafuata, wakati mwingine tunachati na Diamond ila kulikuwa kuna project ambayo lazima tutaifanya“
Unaweza kumtazama Q Chief mwenyewe kwenye hii video hapa chini
0 comments:
Post a Comment