Katika kudhihirisha wanasiasa ni waongo wa kundindukia na wanaweza kupandikiza chuki katika jamii,Leo hii aliyekuwa Mbunge wa kahama kupitia CCM kabla ya kuhamia CHADEMA James Lembel leo hii ameumbuka vibaya.
Lembeli ambaye amegeuka kuwa moja kati ya wakosoaji wa JPM ,leo hii amenyanya mikono juu wakati Dr MAGUFULI alivyokuwa mkoani Shinyanga kwa ajili ya kukutana na watanzania wa huko.aliandika ujumbe wa kumponda Dr JPM kabla ya JPM hajafika mkoani Shinyanga
Lakini cha ajabu kabla ya kukutana na JPM leo hii,Lembeli alikuwa wa kwanza kwenda kumpokea wakati alipotua mkoani hapo


0 comments:
Post a Comment