Tuesday, July 12, 2016

"Nimepokea kwa mikono miwili uteuzi wa Mhe Rais Dr John Pombe Magufuli kuwa Mkuu wa wilaya ya Kongwa.

Uteuzi huu umeonyesha uwezo na jitihada zangu zinatambulika na imani kubwa aliyonayo Mhe Rais kuniamini nikamwakilishe wilayani Kongwa.  Nawaomba viongozi ,watendaji na wananchi wa Kongwa Ushirikiano, Nawaomba ndugu,jamaa na marafiki mniombee, Niko tayari kutekeleza majukumu yangu kwa kauli mbiu ya ‪#‎HapaKaziTu‬" - Mh. Deo Ndejembi

0 comments:

Post a Comment