Saturday, July 30, 2016

1Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu Mheshimiwa Ferdinand Wambali akimsikiliza Mhandisi wa Mahakama ya Tanzania,
Khamadu Kitunzi akimwonyesha Ramani ya jengo la Mahakama ya Mwanzo Kigamboni linaloendelea kujengwa jana jijini Dar es Salaam. Jengo hilo linajengwa kwa kutumia teknolojia ya Moladi.
2Jengo la Mahakama ya Mwanzo Kigamboni linalojengwa kwa kutumia Teknolojia ya Moladi. 
Picha na Mpiga Picha Wetu

0 comments:

Post a Comment