Friday, July 29, 2016


KATIKA kile kinachoonekana kama kuikumbuka kazi yake na kuanza KUIMISS ,Rais Mstaafu Dr Jakaya Kikwete leo hii amechapisha ujumbe picha ambao umeibua hisia za wafuasi wake katiika mitandao.

JK ambaye wiki iliyopita tu aling;atuka katika nafasi yake ya Uenyekiti wa CCM Taifa na kumpisha Dr JPM,leo hii ameposti picha akiwa na kiongozi wa Nchi ya Japani enzi hizo alipokuwa Rais.

Kufuatia Picha hiyo watu mbalimbali walitoa maoni yao huku wengine wakidai kuwa wamemmisi kiongoi huyo aliyewalea atanzania kwa miaka kumi ya Uongozi.

0 comments:

Post a Comment