MUDA mfupi mara baada ya mechi kati ya YANGA na Medeama kuisha,ambapo YANGA imekubali kichapo cha goli 3-1,MWANA FA kupitia ukurasawa wake wa kijamii amepost ujumbe ambao umewakwaza watu wengi.
Mwana Fa ambaye ni msanii wa kurup,ameweka picha ambayo kimsingi inaonyesha jinsi mashabiki wa YANGA wanavyolia,ambapo pia alimalizia kwa kuweka ujumbe unaosomeka kama kijembe kwa timu hiyo..
kupanda ndege kuna raha yake bwana...picha na maelezo havihusiani hata chembe..ahsanteni! pic.twitter.com/xosqf4YGWj— ChoirMaster... (@MwanaFA) July 26, 2016

0 comments:
Post a Comment