Monday, July 4, 2016



Le Mutuz Nation leo live at Karimjee Hall with Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh. Paul Makonda na Mh. Ally Hapi Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, baada tu ya kuwaapisha Wakuu wote wa Wilaya za Mkoa wa Dar ambapo aliwapa Wiki Mbili kujitengenezea Mipango kazi ambayo wataiwakilisha kwa Wananchi kila baada ya Miezi 3 ya walichokifanya ama sivyo kuondolewa kazini.



0 comments:

Post a Comment