MWANADADA
anayeuza sura kwenye video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva
aliyekuwa mpenzi wa Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Lulu Abbas
‘Lulu Diva’ amejutia kitendo chake cha kushobokea mastaa, akisema wengi
wao ‘hawanaga’ malengo ya kimaisha.
Akizungumza na Za Motomoto News, Lulu
Diva alisema aliachana na Nay wa Mitego muda mrefu uliopita kutokana na
msanii huyo kukosa malengo naye ya kimaisha ya baadaye na ku mastaa.
“Sasa
hivi sitaki tena uhusiano na msanii au mtu maarufu, maana wanasumbua,
hawana malengo ya maisha ya mbele, nimempata mwanaume wa kawaida ambaye
ana malengo,” alisema Lulu Diva.
0 comments:
Post a Comment