Mama mzazi wa Wema, Mariam Sepetu
AR ES SALAAM: Mbunifu
wa mitindo mbalimbali ya nguo kama ‘Kwachukwachu’ na nyingine, Martin
Kadinda ambaye pia ni meneja wa staa mwenye nyota kali Bongo, Wema Isaac
Sepetu ‘Madam’, inaonesha kibarua hicho kimeota mbawa na nyuma yake
kuna mazito.
YASEMEKANA HAJAFANYA CHOCHOTE KWA WEMA
Habari
ambazo zimenyetishwa kutoka familia ya akina Wema zinadai kuwa walikuwa
wanakereka na aina ya umeneja anaouendesha Kadinda katika kampuni ya
Wema ya Endless Fame na kwamba mara nyingi walikuwa wakiona kuwa yeye
ndiye anajinufaisha zaidi kuliko Wema katika nyanja zote za kuingiza
kipato.
BOFYA HAPA KUOSM ZAIDI
BOFYA HAPA KUOSM ZAIDI
0 comments:
Post a Comment