Tuesday, July 12, 2016


KAMA kawa Shilole haishiwi vibweka 'BANA' hivi karibuni alikuwa na Show moja ambapo pamoja na kufanikiwa kuwateka mashabiki wengi ukumbini wakati wa show hiyo Shilole hakusita kufanya vibweka vyake.

Lakini kubwa zaidi ambalo linazidi kumfanya Shilole au SHISHI BABY awe tofauti na wenzake ni namna anavyovaa vimini vyake HATARI wakati anapokuwa jukwaani.

Sasa ni hivi,wakati alipokuwa anaserebuka ukumbini huku TANGA,Shilole alijikuta akiwapa matataizo MAKUBWA mashabiki zake wa kume ,hii nikutokna na bvimini alivyovaa na kuchengua KIUNO chake mithili ya mpira unaoungua jikoni.

Wakati akifanya hayo,WAKWARE waliojazana katika ukumbi huo walishindwa kuvumilia hali hiyo nakujikuta kila mmoja akijaribu kupiga mluzi wa kuita PAKA kila mwanadada huyo alipokuwa akitingisha nyona yake,zaidi tazama hapa ujionee picha jinsi shilole alivyowabamba WAKWARE wa TANGA.
A photo posted by Shishi bybee /she roll it (@shilolekiuno_badgirlshishi) on

0 comments:

Post a Comment