MBUNGE wa Jimbo la Segerea kupitia CCM,Mhe Bonner Kalua amezidi kuitikisa katika mitandao ya kijamii,ambapo leo hii ameweka picha ambazo mara nyingi huwa zinazoeleka kuwekwa na mastaa wakubwa na wasanii wakike maarufu.
Mhe Bonna ambaye ni Mbunge Mrembo pengine kuliko wote Bungeni kwa upande wa kina daad.ameweka picha hiyo huku akiwa ameuvuta mdomo wake mithili ya mti anayetaka kumbusu mtu.
Zaidi jionee hapo chini hizo pichazz

0 comments:
Post a Comment