Kijana
mmoja aliejukikana kwa jina moja ( Elisha) mkazi wa Kabindi Mkoani
Geita ammefariki Dunia baada ya kupigwa na mchina kwa jina Mr. Swii kwa
madai ya kusadikika kwamba alilalamika ili wapandishiwe ongezeko la
mshahara, kwa maelezo kamili waliopigwa wengine wawili wako hospital kwa
matibabu zaidi.
Marehem alipo pigwa akaenda Hostitali na baada ya hapo aliambiwa arudi kazini huku hali yake ikiwa mbaya na ndipo alipodondoka na kuzimia ndipo wakafanya jitihada ya kumpeleka hospital ya Mkoa na kufariki Dunia, tukio hili limetokea katika Mgodi wa Nyamahuna uliopo Katoro Mkoa wa Geita. Mgodi huu unachimba Dhahabu na Shaba.
Mashuhuda wanasema kuwa Mr Swii pamoja na walinzi wa Mgodi huo ndio waliohusika katika kuwapiga Wafanyakazi hao nakupelekea mfanya kazi mmoja kufariki Dunia kwa Kipigo hicho..

yani nyumbani kwetu dunia ya leo bado haya mambo yanatokea? kidhibiti amekamatwa nacho sasa mahakama imuhukumu kifo pia, nanyie watu wa mgodi hamna maana hata kidogo mtu anapigwa na muhamiaji nanyie mnaangalia tu kavu sana
ReplyDelete