Saturday, July 9, 2016


Naibu Waziri wa Afya jinsia ,wazee na watoto,Mhe Hamis Kigwangala ameibuka na kuhoji juu ya umuhimu wa taifa kuendelea kupewa misaada huku kama viongozi wakikubali maadili ya taifa kuyumba.


Kigwangala kupitia ukurasa wake wa Twitter alihoji hayo baada ya kuulizwa na shabiki yake mmoja juu ya mustakabali wa nchi endapo Serikali itapiga marufuku masuala ya ushoga hali nchi wahisani ndiyo zimekuwa zikihamasisha nchi maskini kukubali masuala hayo katika jamii.



0 comments:

Post a Comment