Posted by Williammalecela.com on Wednesday, July 20, 2016
-Alhamisi( wiki ya mwisho mwezi July, tarehe 28 saa NNE asub mpaka saa Kumi jioni
Ratiba ya mwezi wa NANE imetoka Atasikiliza Kero za wananchi wiki ya kwanza Tarehe 4/8/2016 na wiki mwisho ni Tarehe 28/8/2016
Mikutano yote itafanyika Ukumbi wa Mkapa wananchi wote mnakaribishwa

0 comments:
Post a Comment