Thursday, July 14, 2016

 msafara wa Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe (mwenye suti nyeusi)umepata ajali ambapo gari la DPP limepata ajali na kupinduka baada ya tairi la mbele kulia kupasuka wakati Dereva alipokuwa akijitahidi kuwekwapa watoto wawili waliokuwa wakivuka barabara ghafla na bila kuwa na tahadhari yoyote,ajali hiyo imetokea katika kijiji cha  Bwanga  na msafara unaelekea Chato kutokea Geita. 
Taarifa zinaeleza kuwa gari hilo limeishainuliwa  na safari inaendelea huku
Dereva na Abiria wote akiwemo Mkurugenzi wa makosa ya jinai Mhe. Biswalo Mganga na msaidizi wake wakiwa wametoka salama.



0 comments:

Post a Comment