Mkali wa wimbo ‘Namjua’ Shetta ameingiza sokoni nguo za brand yake huku zikiwa na muonekano wa aina tofauti tofauti.
Shetta akiwa na mke wake huku akiwa amevaa nguo za brand yake
Rapper huyo amefuata nyayo ya Ommy Dimpoz, Diamond pamoja na Jux ambao tayari waliingiza bidhaa zao za nguo sokoni.
Kupitis instagram, Shetta amepost picha mbalimbali za bidhaa zake na kuandika: New logo in town, ukitaka kuwa mjanja au kuonekana mjanja wa mjini sasa hivh bash ujachelewa, jipatie kofia kali za kijanja zenye logo mpya kabisa ya town ya Shetta, zinapatikana rangi aina zote na sio mdosho…. kwa bei poa kabisa.
Kofia
Nguo za kinadada
0 comments:
Post a Comment