Kituo
cha tv cha kimataifa MTV Base kimeipa sifa kubwa video mpya ya Diamond
Platnumz aliyowashirikisha P Sqaure kutoka Nigeria. Video hii ni KIDOGO.Ukiacha
kuipa sifa kuwa ndio video bora kwa sasa AFRICA ila pia MTV Base
wanasema Diamond ndio MFALME WA MUZIKI WA AFRICA MASHARIKI ‘King OF East
African Music
0 comments:
Post a Comment