Saturday, July 9, 2016


RAIS wa Uganda,Mhe Museven amedhihirisha kuwa ni kiongozi wa aiana ya kipekee katika ukanda huu wa Afrika Mashariki baada ya hivi karibuni kuamua kuingia darasani kuwafundisha wanajeshi wake chipukizi namna ya kufanya kazi.

Museven ambaye ni kiongozi mkubwa pengine kuliko wote katika ukanda huu wa Afrika Mashariki,amewafundisha mbinu mablimbali za kivita na kujilinda wanajeshi wake ikia ni moja ya mkakati wake wa kuimarisha usalama wa taifa hilo

0 comments:

Post a Comment