Wednesday, July 6, 2016


KATIKA kile kinachoweza kufikiriwa au kuelezeka kuwa ni pamoja na kuiweka Tanzania njia panda,Mapema leo hii Rais wa Uganda,Yower Museven ameomba Serikali ya Tanzania kumpa sapoti au kumuunga mkono Dr Speciosa  Kazibwe kuwania nafasi ua Mwenyekiti wa Kamisheni ya umoja wa Afrika nafasi ambayo itaipa Uganda kuwa na Kiongozi mkubwa wa Afrika.

Kupiti ukurasa wake wa twitter Rais Museven ameweka picha inayoonyesha wakiwa katika kikao na Waziri wa Mambo ya nnje wa Tanzania Dr Mahiga pamoja na wajumbe wake'


0 comments:

Post a Comment