Saturday, July 9, 2016

Kadinda1
Mbunifu wa Mavazi wa Tanzania, Martin Kadinda usiku wa jana alizindua collection yake mpya katika uwanja wa kimataifa wa mpira Cape Town-Afrika Kusini katika wiki ya maonesho ya mavazi ya kiume nchini humo.

Collection hiyo ameipa jina la Mwanana. Amesema amezipa jina hilo katika kusherehekea upepo mwanana unaopatikana katika pwani za bahari ya Hindi ikiwa ni kivutio tosha kwa watalii kutembelea pwani za kisiwa cha Zanzibar, Tanga, Bagamoyo na Dar es Salaam.
Kadinda2

Kadinda3

Kadinda5

0 comments:

Post a Comment