Akiongea
na Bongo5 Jumatatu hii, Nay wa Mitego amesema kwa sasa hawezi
kulizungumzia swala la kufungiwa kwa wimbo wake mpaka pale atakapofanya
kikao na BASATA.“Kesho nimeitwa BASATA, nadhani itakuwa ni vizuri
nikizungumzanao, alafu ndo nije kuzungumza issue ya kufungiwa,” alisema
Nay.

Picha ya maandalizi ya video ya pili ya wimbo ‘Pale Kati’ aliyoshoot Afrika Kusini
Hapo awali rapper huyo alisema wimbo wa ‘Pale Kati’ utakuwa na video nne tofauti tofauti ambapo mpaka sasa tayari ameshashoot video mbili, moja akiwa ameshoot Afrika Kusini.

0 comments:
Post a Comment