Tuesday, July 12, 2016

image.jpeg
image.jpeg image.jpeg
Katika kuwahabarisha watu wake na mashabiki wake,Masanja Mkandamizaji ameandika hivi katika mtandao wake
 
"MBWEMBWE ZOOOOOOTE ZIMEISHIA KWA BINTI HUYU WA KISUKUMA HAKIKA KAWAZIDI WOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOTEEEEEEEEE

JAMANI KAMA ULIWAHIGI NIPENDA AU NILIWAHIGI KUKUPENDA BASI TUENDELEE KUOMBEANA MAANA HAPA NDO BREAK YA MBELE.

NAMPENDA MPAKA NASIKIA KIZUNGUZUNGU.
NAONA TAR 14 HAIFIKI

NATAMANI UKUMBINI MKAE SITI YA MBELE ILI USHUHUDIE MA STEP

ZAIDI YA MA MC 10 NIKIWEPO MIMI TUTAONGOZAAAAAAAAAAAAAAA TUKIO.

JAMANI KUSEMA UKWELI HAKA KA BINTI NAKAPENDA MWEEEEEH

KAMA HAUJAJISIKIA VIBAYA TUTAKIE KILA LA KHERI NA USIPOTUTAKIA MUNGU ATAFANYAAA"

0 comments:

Post a Comment