Monday, July 4, 2016



Le Mutuz Nation Le Big Show majuzi aliwashitua watumiaji wengi wa Mitandao ya Kijamii alipoibuka na Mrembo anayesadikiwa kuwa ni Mbebez wake mpya kwa jina Jesca.
Picha hizo zilianza kusambaa taratibu kwenye mitandao ya kijamii kutokea Instagram ambapo zilionyesha Le Mutuz akiwa na Mbebezzz huyo katika Beach ya the Double Tree Hilton Hotel iliyopo Masaki Dar. Masaa Manne baadaye ilibidi Le Mutuz aziondoe picha hizo kwenye Instagram yake kutokana na rundo kuwa la Viewers waliokuwa wakipitia picha hizo na kusababisha server kushindwa kufanya kazi. Mpaka sasa haijajulikana kama Le Mutuz ana mpango wa kumuoa binti huyo mrembo wa ajabu au kama kawaida yake ya siku zote ya kuwa nao na kuishia kuibuka na wengine.













0 comments:

Post a Comment