Godzilla ni moja kati ya wasanii wanaofanya vizuri kwa sasa kutoka kwenye game ya muziki kutoka Bongoflevani, stori ambazo zipo kwenye social network ni kuwa Godzilla ana bifu na mkali Bilnass.
‘kitukimoja kuhusiana na muziki ni kufanya nmuziki kwa bidii na haiko sawa kumuongelea mtu mwingine mambo ya kwenye mitandao na mimi ni tofauti, hii ni busness atakayefika atafika unajua Bob Marley alisema Time wil tell’>>>Godzilla
0 comments:
Post a Comment