Video ya Diamond Kidogo.
Na Saleh Ally
GAZETI la
Championi lilianza kujulikana kabla ya ujio wa Nasibu Abdul ‘Diamond’.
Ninaamini litaendelea kubaki nikiwa ninamaanisha hivi, ataliacha
likiendelea kusikika kwa miaka mingine mingi.
Championi
litaendelea kusikika kwa kuwa linaundwa na watu wengi makini wanaotaka
liendelee kufanikiwa. Zaidi linajengwa na timu, ndiyo maana litakuwa na
nafasi ya kufanya vema zaidi kwa kuwa iko makini.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment