Saturday, July 23, 2016

babu-taleBabu Tale na Diamond.
Andrew Carlos na Boniphace Ngumije, Risasi Jumamosi
BAADA ya hivi karibuni Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kutoa hati ya kukamatwa kwa Meneja wa ‘Diamond Platnumz’, Hamis Taletale ‘Babu Tale’
kwa kutotii amri ya kumlipa Shehe Hamis Mbonde Sh. Milioni 250, kisha yeye kuibuka na kukanusha madai hayo, kiongozi huyo wa dini naye amefunguka kwa kirefu undani wa suala hilo, Risasi Jumamosi lina mchongo kamili.

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

0 comments:

Post a Comment