Katika vitu ambavyo vinazidi kumpa kiki mwanadada Shilole si tu pamoja na mziki bali,maisha yake jhalisi,huku yakichagizwa na jinsi anvayouza picha 'TATA' katika mtandao hasa wa instagrama.
Shilole ambaye anafahamika kwa UBAMSA' alionao leo hii tena amechafua tena mtandao baada ya kutupia picha moja hivi TATA mabayo imemfanya azidi kuoneakan kuwa bado KIKI za kwenye instagram zinamuhusu sana kwa sasa.

0 comments:
Post a Comment