Saturday, July 30, 2016


MSANII mahiri wa Bongo Fleva na mwanadada anayesumbua katika media hivi sasa Shilole maarufu kama Shish Baby au bad Girl leo hii amezidi kuwaacha watu vinywa wazi mara baada ya kusambaza picha TATA mitandaoni.

Shilole ambaye haishi kuwa na vioja mitandaoni,ametupia picha hizo ambazo zimeua utata mkubwa miongoni mwa mashabiki zake.



A photo posted by Shishi bybee /she roll it (@shilolekiuno_badgirlshishi) on

0 comments:

Post a Comment