PAMOJA na kudai kuwa amebadilika kwa kila kitu ikiwemo mavazi,ana kuahidi kuwa ataanza kuvaa mavazi ya heshima kulingan na imani yake ya Kiislamu,Msanii Snura Mushi ameendelea kujiachia kwa RAHA ZAKE na nguo za Show bila kujali kauli yake ya awali.
Snura ambaye alianza kupata umaarufu baada ya trak yake ya Majanga kufanya poa katika Industry ya Bongo Fleva, kabla ya CHURA kuja kufungiwa,ameonyesha kuwa yeye ni wa namna yake baada ya kupiga picha tata na kuzitupia huko mitandaoni katika mapozi tofauti tofauti kama inavyoonekana katika Instagram yake hapo chini

0 comments:
Post a Comment